Makala Mbalimbali

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais anayejenga reli ya kisasa yenye mtandao mrefu kuliko wowote Afrika na wa tano duniani

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan, ameingia katika historia ya kuwa Rais anayejenga reli ya kisasa yenye mtandao mrefu kuliko wowote Afrika na wa tano duniani.

Serikali yasaini mikataba ujenzi wa madaraja 13 yaliyoathiriwa na mvua - lindi, bilioni 140 kutumika

Serikali ya awamu ya sita imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi.

Rais Samia Suluhu Hassan Aanza Ziara ya Maendeleo Mkoani Ruvuma: Fursa na Faida kwa Wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara rasmi ya siku tano (23-28 Septemba) 2024 mkoani Ruvuma

Kiwanja cha Julius Nyerere (JNIA) Chazoa Tuzo ya Ubora wa Usalama Afrika kwa Mwaka 2024

Tanzania imepata heshima kubwa katika sekta ya usafiri wa anga baada ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kupokea tuzo ya "Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika" kwa mwaka 2024.

Ukuaji katika Sekta ya Madini, Uboreshwaji Miundombinu na Uwezeshaji wa Watanzania Chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umeleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali za uchumi nchini Tanzania. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa na dhamira thabiti ya kuwezesha Watanzania kunufaika na rasilimali za taifa lao

Tamasha la Kizimkazi Lapandishwa Hadhi Rasmi:

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuwa Tamasha la Kizimkazi la kila mwaka liingizwe rasmi kwenye orodha ya matukio yanayochangia kukuza utalii nchini Tanzania.

HISTORIA IMEWEKWA NANE NANE!

Kwa mara ya kwanza Tanzania inashuhudia mageuzi makubwa katika kilele cha maonyesho ya kimataifa ya Nane Nane.

Matunda ya ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi ziara ya siku sita mkoani Morogoro.

Uzinduzi wa Treni ya Umeme ya SGR Kati ya Dar es Salaam na Dodoma: Mapinduzi ya Usafiri Tanzania

Huduma za treni ya umeme ya Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma imeanzishwa rasmi siku ya Alhamisi, ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri nchini Tanzania.

Dkt. Samia Anavyolifungua Taifa kwa Diplomasia ya Uchumi

Ziara zake mataifa ya nje zafungua milango kwa Tanzania, fursa lukuki kupitia mikataba, miradi ya maendeleo.

or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook