Miradi Ya Kimkakati

MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

Utafiti uliofanyika awali mwaka 2008 na baadae utafiti wa kina mwaka 2010-2013 ulionyesha kuwa katika kata ya Engaruka, wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kuna uwepo wa magadi soda ya kutosha kutumika kote nchini na hata kuuzwa nje ya nchi.

UZINDUZI WA TRENI YA SGR UNAKUJA NA MAPINDUZI MAKUBWA NCHINI

Leo, watanzania tunajivunja kuzindua rasmi sehemu ya kwanza ya reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan

SERIKALI YAJENGA SHULE MPYA 26 ZA SEKONDARI ZA BWENI NA SAYANSI KWA AJILI YA WANAFUNZI WA KIKE NCHINI

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye shule na vyuo.

or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook