Ngorongoro: Jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan Kuimarisha Misingi ya Haki, Uhifadhi, na Maendeleo ya Jamii
DES 2024Baada ya kipindi kirefu cha manung'uniko kutoka kwa wananchi wa Ngorongoro, Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye alipata fursa ya kuzungumza kwa kina na viongozi wa koo za jamii ya Wamasai katika mkutano uliofanyika Ikulu ndogo mkoani Arusha.





