Reconciliation (Maridhiano)

Kujenga jamii inayofurahia haki sawa mbele ya sheria, bila ubaguzi na ambayo hutoa fursa sawa za kiuchumi kwa wote.

Resilience (Ustahimilivu)

Katika safari iliyo mbele, Tanzania itakumbwa na misukosuko. Iwe ni kiuchumi, kimazingira, kijamii au kisiasa lakini lazima tujenge ustahimilivu.

Reforms (Mageuzi)

Serikali itajitahidi kufanya mabadiliko katika mfumo wa kisiasa, kiuchumi na uchaguzi wa Tanzania.

Rebuild (Ujenzi mpya)

Lengo kuu linapaswa kuwa kukuza uchumi wa Tanzania. Uchumi utakaosaidia kuongeza ajira kwa vijana na kufungua fursa kwa makundi yote ya kijamii nchini

Taarifa Muhimu

Rais Samia Aongoza Taifa Kumuaga Hayati Jenista Joakim Mhagama

Dodoma, 13 Desemba 2025 Taifa limeingia katika majonzi makubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama. Kufuatia tukio tukio hilo lililogusa hisia za wengi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza familia, viongozi wa kitaifa, wabunge pamoja na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika katika Kanisa la Mwenyeheri Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.

RAIS SAMIA ATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU VURUGU ZA OKTOBA 29 NA MUSTAKABALI WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,amezungumza na Wazee wa Jiji la Dar es Salaam na taifa kwa ujumla, akifafanua kwa kina kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025, athari zake, chanzo chake na mwelekeo wa serikali katika kulinda amani na umoja wa nchi.

Soma Zaidi

Makala Mbalimbali

Soma Zaidi

Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ainua uchumi na huduma za afya wilaya ya Temeke

Katika ziara ya Dira ya Samia kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Sixtus Mapunda alitoa maelezo ya kina kuhusu juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha uchumi na huduma za afya za Wilaya ya Temeke.

Soma Zaidi

Tamasha la Kizimkazi Lapandishwa Hadhi Rasmi:

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuwa Tamasha la Kizimkazi la kila mwaka liingizwe rasmi kwenye orodha ya matukio yanayochangia kukuza utalii nchini Tanzania.

Matunda ya ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi ziara ya siku sita mkoani Morogoro.

Uzinduzi wa Treni ya SGR Unakuja na Mapinduzi Makubwa Nchini

Leo, watanzania tunajivunja kuzindua rasmi sehemu ya kwanza ya reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan

Uzinduzi wa Treni ya Umeme ya SGR Kati ya Dar es Salaam na Dodoma: Mapinduzi ya Usafiri Tanzania

Huduma za treni ya umeme ya Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma imeanzishwa rasmi siku ya Alhamisi, ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri nchini Tanzania.

or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook