Rais Samia Akutana na Viongozi wa Kimataifa,Aeleza Mwelekeo wa Diplomasia ya Uchumi na Maendeleo ya Tanzania.
Jan 2026ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, siku ya tarehe 15/01/2026 amekutana na Mabalozi, Makamishna Wakuu pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika mkutano wa kila mwaka wa kidiplomasia uliofanyika Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika katika jijini Dodoma.





